Habari za Wakati huu,
Kwanza niseme tu kwamba andiko hili limekuwa inspired na Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariako pamoja masuala mengine ambayo yamejitokeza hapa nchini katika kipindi cha nyuma.Kimsingi kama nchi tunao mfumo wa kiserikali ambao unahusisha Bunge,Serikali na Mahakama.Hata hivyo...