wizara ya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

    Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo yatakayowezesha ujenzi na ukarabati wa barabara Nchini. Kirumba ameshauri hilo leo May 30,2024 wakati...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

    Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha

    WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana aliwasilisha bajeti ya Wizara...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi Yaanika Vipaumbele Tisa

    WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE TISA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele tisa vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi kutumia Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2024/25

    Katika mwaka wa fedha 2024/25, Wizara ya Ujenzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,769,296,152,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 81,407,438,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara na Taasisi na Shilingi...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wizara ya Ujenzi imejipanga kurudisha miundombinu iliyoharibika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua za El-Nino. Akizungumza na Shirika la...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dkt. Tulia asisitiza Wizara ya Ujenzi kuzingatia ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali

    SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la Wizara ya Ujenzi kuhusu kuanguka kwa Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni

    Kufuatia tukio la kuanguka Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) na Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne tu kuanza na bajeti mpya ya 2024/25. Ninauliza ninyi Wabunge tuliwatuma kuisimamia Serikali, Je...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

    Kwenu Wizara ya Ujenzi Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ujenzi haijitambui

    Tatizo la Wizara ya ujenzi imekuwa mapepe sana. Sasa wanataka kubinafishisha reli. Je, pesa ya ujenzi itarudi vipi, matengenezo. Ni jitihada za kutengeneza mianya ya rushwa. Yaani Watanzania wanatengeneza reli kwa $10B halafu marafiki zao ndiyo wanunue vijibehewa na kuendesha kwa gharama ambazo...
  13. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kusudio la Rais Samia kutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi?

    Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi! Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

    Wataalam naomba aliyeelewa sentensi hizi zinahusu hii barabara ya pugu-mbezi- mwisho hadi bunju anisaidie ufafanuzi. Make mimi mchanganyiko wa maneno sikuuelewa kabisa. Naomba mtu anayeelewa anifafanulie hii barabara niielewe plz
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi Kufanya Tathimini ya Kupandisha Hadhi Barabara za Mkoa wa Kilimanjaro

    TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Trilioni 3.554 Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2023/2024

    BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ushetu Aibana Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bungeni

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI KUPITIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na...
  18. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania 2017-2018 CAG alibaini TTCL inaidai Wizara ya Ujenzi Bilion 20.63, Imekuwaje Ripoti ya 2021 waseme hawamjui wanaemdai?

    Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa. 2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA

    Kutokana na miradi ya ujenzi ya barabara na madaraja kuwa na viwango vya chini sana vya ubora, Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA. Miradi hiyo inajengwa chini ya viwango kutokana na wale walioaminiwa na serikali (wakaguzi wa miradi hiyo) kula njama kwa kupewa...
  20. tamsana

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
Back
Top Bottom