Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda.
Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu. Ni kweli shule zina Bodi, lakini tukumbuke hakuna taasisi ambayo hairatibiwi, Usafiri ipo SUMATRA, nishati ipo EWURA, hotel sijui TFDA nk, sasa hivi mfano...