Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu.
Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii ninayokutolea, uangamize MAPEPO yote yanayoiharibu Nchi hii na ukawalete malaika watakaoijenga Nchi hii kwa manufaa ya Watanzania wote kwa usawa.
Amina.