Just imagine baada ya haya yote unaishia kuwa winga tu

Just imagine baada ya haya yote unaishia kuwa winga tu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,934
Reaction score
5,525
Daaah inasikitisha
FB_IMG_1757707281927.jpg
 
Elimu bure hiyo
 
Baada ya haya yote wengine wanakuwa madaktari, walimu, maaskari, wahasibu. Uamuzi ni wako unataka kuwa nani
kwa mukhtadha huu uamuzi hauwezi kuwa wako, matokeo ya mtihani huamua hatma za wahitimu kupenda au kutopenda
 
kwa mukhtadha huu uamuzi hauwezi kuwa wako, matokeo ya mtihani huamua hatma za wahitimu kupenda au kutopenda
WApo wanaofanya mtihani na kuamua hatma zao. Mimi kabla sijaenda Chuo nilipanga kwenda kuwa muuguzi na ikawa hivyo.
 
Tatizo mnataka kila unachosoma ukakifanyie kazi ya kuajiriwa au kujiajiri. Vingine ni kwa ajili ya kukufanya uwe na maarifa ya kuweza kuendesha familia au shughuli za kijamii za kila siku.
 
Back
Top Bottom