Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 916
- 928
Habari mawinga wa kariakoo.
Kuna wazo nimepata la, ecommerce ila kwa njia ya WhatsApp Business, ambapo mteja anatafuta bidhaa husika mfano pazia na kukutana na mawinga wa hiyo bidhaa, winga wenye completion rate kubwa ya oda ndiyo anakuwa juu kwenye search engine.
Baada ya mteja kuchagua winga kutokana na bidhaa aliyochagua, analipia na pesa inabaki kwenye escrow hadi winga atume mzigo kwa mteja.
Hapa ndio naona kama kuna changamoto kubwa kwasababu mawinga wengi ni wako unga muda mwingi kwahiyo kukununua bidhaa inakuwa ngumu. Ila nimeweka hivyo ili kumlinda mteja na kutoa challenge kwa mawinga ambao wako serious na kazi, wawe na kibunda cha kununulia bidhaa pale tu anapopkea oda kutoka kwa mteja.
Nakaribisha maona kutoka kwa mawinga wa kariakoo...