ITAMBUE WILAYA YA ILEJE NA FURSA ZILIZOPO.
Na Elius Ndabila.
0768239284
UTANGULIZI.
Wilaya ya Ileje inapatikana katika Mkoa wa Songwe, mkoa ambao ni matokeo baada ya kuugawa mkoa wa Mbeya. Wilaya ya Ileje ni kati ya Wilaya nne zinazounda mkoa wa Songwe ambazo ni Momba, Mbozi, Songwe na Ileje...