wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

    Wanabodi, Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais. Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

    Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa =====
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa kasahau vipi 'Kuwateua' Wachapakazi hawa nao kuwa Wakuu wa Wilaya?

    1. Michael Sarpong 2. Abdulazaq Fiston 3. Metacha Mnata 4. Ditram Nchimbi Hawa nao wangemsaidia sana tu Mama.
  5. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Ni Wakuu wa Wilaya au Mabalozi wa Serikali katika Wilaya

    Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao! Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

    Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine, likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe. Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    Heshima sana wanajamvi, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la Polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa COVID 19 anakimbizwa...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

    Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro. Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga. Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa siku nyingi zimenajisiwa sana

    Najua leo hii wengi wanapata utulivi baada ya kuona Sabaya akipandishwa kizimbani. Naiona hii haitoshi kwa sababu hatujaona mbele hukumu itakuwaje. Huenda itaibua mapya mengi na mengine yakiwahusu hao waliomtuhumu. Shida yangu ni ubora duni wa wanaoteuliwa kushika nafasi hizo. Tatizo ni...
  11. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi waliokula pesa za Maabara za wananchi, nao pia watakamatwe

    Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa. Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa. Hawa nawaona ni...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

    Good evening jamiiforums. Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi; Kwanini mkoa wa Geita...
  13. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Umeme wa TANESCO umekuwa kero katika wilaya ya Masasi

    Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme. Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa

    "Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka --- Anaandika...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitaifanya Wilaya ya Same kuwa Mkoa. Zàmu Kwa Zamu

    NITAKAPO KUWA RAIS, SAME ITAKUWA MKOA. Na, Robert Heriel Najua haina vigezo, najua wapo watakaonipinga, nafahamu kelele nitakazo pigiwa. Lakini sitajali. Same lazima iwe Mkoa. Kila Rais akiingia Madarakani afanye Mji wake au wilaya atokayo kuwa Mkoa, ikiwezekana aweke ndio yawe makao ya nchi...
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

    Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera. Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibondo anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapa, afanyeje?

    Wana bodi hebu saidieni, Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

    WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa...
  20. balimar

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba, Adam Msangi afariki dunia ajalini

    Habarini Wadau Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza. Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba amefariki kwa ajali hiyo ya gari majira ya alfajili ya kuamka leo. Inauumiza sana kwani Mratibu huyu...
Back
Top Bottom