Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew leo tarehe 14 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe Wote wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoka Kata 18 zilizopo Wilayani Urambo.
Tukio...