Mbunge Shonza Afanya Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Songwe

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Songwe Kata ya Magamba na kufanya Mkutano wa Hadhara na kuchangia kikundi vya wanawake wajasiriamali katika shughuli zao za kiuchumi.

Mhe. Juliana Shonza akiwa Kata ya Magamba Wilaya ya Songwe amefanya mkutano wa hadhara wenye lengo;
✅ Kuelezea utekelezaji wa Ilani yaCCM2020-2025;

✅ Amechangia Shilingi Laki Tatu (300,000) kikundi cha akina Mama wajasiriamali

✅ Ufafanuzi wa kusitishwa mikopo ya Halmashauri ya 10%

✅ Uwezeshaji vikundi vya wanawake

✅ Kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea ufafanuzi.

WhatsApp Image 2023-07-13 at 14.14.48(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 14.14.49.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 14.14.48.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 14.14.47.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 14.14.41.jpeg
 
Back
Top Bottom