wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Afghanistan yakumbwa na tetemeko la ardhi la tatu ndani ya wiki moja

    Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000. Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania TEC wameiva kisaikolojia, waraka kusomwa wiki 6 mfululizo si bahati mbaya

    Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu. Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika...
  3. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania IHELFU ameomba mzunguko wa pili warudiane wiki ijayo waishane mazima

    Kuna watu roho zimefanya "paaaah!!.😅😂 Bondia wa Peru Dà Silvà Ihelfu ameomba pambano lake na bondia Eduàrdò lifanyike wiki ijayo badala ya mwezi December kama ilivyo pangwa.
  4. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania NHIF wameomba game ya mzunguko wa pili warudiane wiki ijayo waishane.

    kuna watu wameshtuka presha zikapanda ni NHIF sio IHEFU. timu hiyo ya wafanyakazi ya taasisi wameomba warudiane na timu ya NSSZ ya Zanzibar wiki ijayo.
  5. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Wiki ya tatu watoto wamesimamishwa masomo kwa sababu ya fee

    Shule bianfsi za msingi na seckondari zinatabia hii sana. Lakini mzazi anapolipa hakuna compasatiion ya siku aozokosa. Shule hizi hubeba dhambi tu. Hawa viongozi wa shule biafsi hukosa utu na kwamba hawana haya kumsimamisha masomo mtoto aisye na hatia. Hata kama wao wanasepa na maden lakini...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza atoa Wiki Mbili Ununuzi Vifaa vya Mradi Pemba

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wiki mbili kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba kukamilisha taratibu za zabuni na ununuzi wa pampu, mashine za umeme wa jua na matanki ya kuhifadhia maji ili huduma...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki ya CRDB, Boma Raballa wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023 iliyofanyika katika tawi la...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtu asiyesikia asafiri Tanga-Mbeya kwa baiskeli kuadhimisha wiki ya viziwi duniani

    Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana. Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Apple yakubali yaishe, Iphone 15 inayotoka wiki ijayo kuja na charger ya type C

    Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona baada ya TEC kuja na Tamko lao Wiki Mbili hizi Wine na Whiskey zitanyweka mno ili Kupunguza Presha

    Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

    Popote walipo TEC chukueni ushauri huu! Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba! Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

    Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu... Mimi ninalo jibu...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania England: De Bruyne aumia, kuwa nje kwa wiki kadhaa

    Kevin De Bruyne amepata majeraha ya nyama za oaja wakati timu yake ya Manchester City ikishinda magoli 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa kwanza wa Premier League. Kocha wa City, Pep Guardiola amesema madaktari watamfanyia vipimo De Bruyne kujua ukubwa wa tatizo lakini kuna uwezekano atakuwa...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
  18. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Nkunku nje ya uwanja wiki 16 (miezi minne)

    🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wiki ya asasi za kiraia yazinduliwa Dar es Salaam

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndungulile amezitaka asasi za kiraia kuwa vinara wa kutoa mtazamo mbadala kuhusu miswada inayowasilishwa ili kuwasaidia wabunge kufanya maamuzi sahihi. Ndugulile amesema kazi hiyo kufanywa katika hatua za awali kabla ya muswada kuwa kwenye hatua za mwisho...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wilaya ya Kyela huduma ya Petroli ni changamoto wiki ya tatu sasa, kwani kuna mgomo wa kimyakimya?

    Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku sasa hivi ni buku mbili hadi shilingi 2,500. Kwani kuna nini kinachoendelea wakati kila siku Waziri...
Back
Top Bottom