INAUZWA Forsale: 4G pocket wifi 30k

MOONFISH

Senior Member
Jul 30, 2022
136
266
Habari wakuu za kwenu? Hope mko poa.

Niko na 4G POCKET WIFI nili nunua airtell kwa thamani ya shilingi 50k

Ina offer ya 5GB kila mwezi pale unapo weka kifurushi cha mwezi mfano ukinunua GB 4.5 unapata GB 5 bure inakuwa 9GB jumla.

Haina hata mwezi na nina uza kwa bei ya 30,000 elfu

Eneo ni Tabora

DM IKO WAZI

download.jpg
 
ukinunua ya 50k unapewa 20GB kwa mara ya kwanza ila baada ya hapo ni mpaka uwe unaweka kifurushi uweze pata GB kwa kila mwezi. bora ya jamaa ana uza ya 30k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom