Kuna nchi duniani hazina jeshi zaidi ya polisi,fire fighters and serikali na wanaenda vizuri tu.
Kwa Zanzibar kama una ndugu polisi au mwanajeshi basi hata ukiguswa inakuwa rahisi mambo yako kusawazishwa na kuachiwa,
Kisa kimoja mbali ya kile cha JKU kikosi cha SMZ kumkamata au kumeka polisi wa...