Mwalimu Moyo wa Kemia Mafinga Sekondari mwaka 2001-2002. Where are you?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Huyu jamaa nakumbuka nikiwa Form Two alikuwa anaimanya Kemia sio poa anaandika notisi na kuweka Calculations za Equations bila kuangalizia popote na anashuka nondo za hatari. Sema nini, hili taifa lina walimu wazuri sana ambao naamini walifaa sana kufanya kazi kwenye ngazi ya juu zaidi ya kufundisha maana ni majiniazi.
 
Walimu ndio wanatakiwa kuwa majiniaz, maana ndio wanaotengeneza misingi.

Huko juu, haina shida maana tayari wanafunzi nao wanajielewa.

Muhimu masilahi tuu yawe mazuri kwa Walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom