wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kama mwana Yanga SC kindakindaki Dismas Ten kaikubali Simba SC Wewe ni nani uikatae?

    "Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga...
  2. Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  3. Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

    Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto? Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
  4. Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  5. Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

    Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
  6. Kama ni wewe utaamua nini kwa huyu rafiki yako?

    Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi, Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako anakuomba lift umsogeze aendako, Mkiwa njiani mnakutana na gari aina ya...
  7. Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  8. L

    Wewe ni nani?

    Kama mti uzaapo matunda basi ndio na sisi tunavyozaliwa. Kuna matunda ambayo huotea chini na kuwa rahisi kuchumwa, haya hu represent wale watu waliobarikiwa kuzaliwa na visimati, na hawatumii nguvu nyingi ili kutimiza malengo yao. Kuna yale ambayo huanguliwa hata kama yapo mbali, basi hawa ni...
  9. Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  10. Haya ni makundi ambayo hayataingia kwenye ufalme wa Mungu: Jitazame wewe uko wapi?

    TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma. Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu. 1. Maafisa wa TRA Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya...
  11. Dakika 30 baada ya kuzikwa

    Maisha yana Fumbo kubwa lakini Kifo kina Fumbo Pana
  12. Sababu zipi, zinazokupelekea wewe kwenda kunywa pombe maeneo ya starehe?

    Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani? Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
  13. Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea? Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT? Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi...
  14. Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

    Huu ni uzi ambao nimekuwa nikiusoma nakuurudia tena na tena, usiku na mchana bila kuchola tangu uliporushwa rasmi. Uzi huu unenifundisha umuhimu wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu kulinda maslahi yangu mapana mimi na familia yangu kama vile Urusi afanyavyo kule Ukraine. Hapa Kerubi...
  15. J

    Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  16. Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  17. Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  18. Takataka ni mtu ambaye anataka mambo mengi

    Je umewahi kusikia mtu anaitwa taka taka?Kama hujawahi kusikia au kukutana na mtu wa aina hiyo basi leo nataka tujadili kuhusu hii tabia ya watu kuwa taka taka.Sasa ili usitetemeke maana ya takataka hapa ni sambamba na maana ya omba omba.Kama ambavyo kuomba kupo asi hata kutaka kupo lakini...
  19. Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…