wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dizasta Vina hajamfikia hata songa, acha apambane na watoto wenzake

    Baada ya kuachia tribulation ngoma ya kumdiss rapcha naona ata ngoma zake zimeanza kupepea hewani hata wasomjua dizasta wamemjua Sasa. Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani wa kuimba kwa kusimulia mkasa tukio Fulani. Aige mifano Kwa songa, Nash mc Nikki mbishi max Cortez...
  2. Nape Nnauye aliwageuka wenzake akaenda kuwachoma kwa Hayati Magufuli

    Ila hii Dunia acheni tu. Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba, Kinana et al anawasalimiaje. Katika Dunia epuka sana kuwa na ukaribu na mtu anayeweka pozi hii ya mikono anapokuwa na Boss wake/wenu. Baba yako, Mkubwa wenu au mtu flani mwenye uwezo. Anayeweka hivi mikono muogope...
  3. Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
  4. Mkurugenzi wa Iramba na wenzake 6 Kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Augustino Matomola na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wakituhumiwa kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi. Watuhumiwa hao...
  5. Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi. Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme...
  6. Mahakama yaiamuru MultiChoice iwalipe mwanariadha Simbu na wenzake Tsh. 450m

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania. Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
  7. Hizi hapa sababu za Kitilya na wenzake kupinga makubaliano ya 'Plea Bargain' na DPP

    Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili. Kitilya, Shose...
  8. Zumaridi hana kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu. Hakimu Mkazi Mwandamizi Clescensia Mushi akisoma uamuzi huo amesema...
  9. Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  10. Mmoja wa wagombea wa uongozi UVCCM akimwaga machozi

    Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe. Ila chama hicho jamani, da! Ajabu yanarekodiana bila hata haya ! Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
  11. P

    Kiongozi anayetetewa na viongozi wenzake badala ya wanachi, upo mkwamo pahala

    Ukiona hivyo, ujue hao viongozi wanaomtetea hawampendi kiongozi wao. Ni kweli kabisa maisha yamebadilika mno, natamani kiongozi wetu siku moja aache tu maisha yake hayo yasiyozijua dhiki na tabu, ajichanganye mtaani ashuhudie maisha ya wananchi kwa sasa, atatoa machozi bila kupigwa. CCM, jambo...
  12. Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  13. Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imewakuta na kesi ya kujibu, Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake nane katika mashtaka matatu yanayowakabili. Washtakiwa katika kesi hiyo ya Jinai namba 12/2022 ni Zumaridi, Amos Kailembo, Isaya John, Isaka Mafuru, Neema Julian, Suzana Simon...
  14. Mwigulu anafanya kilekile alichokikataa kwa wenzake

    Lewis E. Gleeck Jr, ni mtumishi wa zamani wa Idara ya Mambo ya Nje, Marekani. Baada ya kustaafu, akiwa amelitumikia taifa lake kwenye nchi mbalimbali duniani, aliweka makazi yake Ufilipino, akifanya kazi na Shirika la Marekani la Misaada (USAID). Katika maisha yake, Gleeck aliandika vitabu 14...
  15. Barbara Gonzalez awa makamu wa rais caf pamoja na wenzake wengine 10

    RAIS • Ahmed Yahya MAKAMU WA RAIS (WAPO 11) 1• BARBARA GONZALEZ 2• Maclean Cortez 3• Djibrilla Hamidou 4• El Hajoui Hamza 5• Sekou Sylla 6• Shehu Dikko 7• Ransford Abbey 8• Alim Konate 9• Mohamed Yonis 10• Muwanda Haruna 11• Mokhosi Mohapi MSHAURI • Desmond Maringwa
  16. Kuhusu Rais wetu na wenzake kupanda basi kwenye msiba wa Malkia Elizabeth II

    Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko mitandaoni. Tuanze kwanza kwa kuangalia kitu kinaitwa "order of Seniority and precedence" hii maana yake...
  17. Bosi wa zamani RAHCO akutwa na kesi ya kujibu, wenzake waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhardard Tito. Tito amekutwa na kesi ya kujibu baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao wa mashahidi tisa...
  18. Kilimanjaro: Mahakama yagoma kuwaachia huru Sabaya na wenzake, kesi yaahirishwa hadi Septemba 11

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro ametupilia mbali ombi la upande wa utetezi walilolitoa Agusti 12, 2022 wakiomba mahakama hiyo iwaachie huru, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne na upelelezi uendelee wakiwa huru. Ombi hilo limetupiliwa mbali...
  19. Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
  20. R

    Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa kesi ya Halima Mdee na wenzake

    Take home msg ni hii: 1. Job Ndugai asilaumiwe 2. Tulia Ackson asilaumiwe 3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais. Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…