Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa kwa miradi ya Rea, lakini ameanza kuwapiga fitna mawaziri wenzake ili waonekane hawafanyi kazi.
Mfano...
VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mawakili wa upande wa CHADEMA wakiongozwa na Wakili...
Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Mdee na wenzake wamefungua shauri hilo siku 13 baada ya kupata kibali cha mahakama hiyo.
Mahakama hiyo imewaruhusu...
Mtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi...
Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge walizolipwa pasipo kustahili?
Heshima sana wanajamvi,
Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.
Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.
Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa...
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga ametoa tuhuma kwa baadhi ya wabunge ambao kwa makusudi wanaipotosha Serikali na kuichonganisha na wananchi kuhusu sakata la Loliondo.
Mayenga ametoa shutuma hizo leo Juni 22, 2022 wakati akichangia bajeti kuu ya Serikali, bungeni Jijini Dodoma.
“Machafuko...
Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
Mei 11,2022 CHADEMA imeandika historia ya kuwavua uanachama, Wanachama wao 19 ambao wengi ni waandamizi na wamewahi kuwa viongozi wakubwa katika chama hicho. Baadhi ya Makosa makubwa yaliyosababisha wavuliwe uanachama ni pamoja na;
1. KUGHUSHI NYARAKA ZA CHAMA
2. KUGHUSHI SAINI YA KATIBU MKUU WA...
Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva.
Aliyegundua...
Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake.
Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini...
Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina...
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani.
Karibuni Sana
Mungu awabariki note.
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...