Wanawake na wanaume: Tuelezeni matarajio matatu mnayotegemea kuyapata kwa wenza wenu

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
583
1,266
Mwanaume au Mwanamke, sote huwa tumejenga Vigezo au Mambo ambayo tuna tarajia kutoka kwa wenzi wetu while tukiamini mambo hayo tukiyapata, kuyaona au kuya-experience kutoka kwa wenzi wetu basi ndio nguzo ya sisi kuwapenda zaidi, kuthaminiwa, maelewano na furaha.

Ofcourse tuna mambo mengi tungipenda tuyaone kutoka kwa wenzi wetu, lakini unapewa nafasi ya kuviunganisha katika makundi matatu.

Mimi kama ME..navi-group ifuatavyo

1: Loyal / Uaminifu
2: Perseverance / Uvumilivu
3: Romantic / Mapenzi

Welcome...
 
Back
Top Bottom