Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .
Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢
Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya upatikanaji wa ushahidi (unaiona tabu kuupata Ushahidi wao?)
UZITO WA KESI HUPIMWA NA MAZINGIRA YA USHAHIDI.
Ukiona kila kosa Ushahidi wake unaweza kuupata hata kwa kuwauliza tu wanakijiji jua muhusika ameenda na maji.
Jitahidini majibu yaambatane na simanzi simanzi kidogo.
Kazi na Utu