Wanabodi
Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5.
Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to know, kuwa japo kuna wagombea 17 wa urais, ukweli wa mambo, mgombea ni mmoja na chama ni kimoja, ni...