wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

    Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia. Cha ajabu, nilipokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Fira: ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae

    Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo) Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini) Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka) Nusuoda:Serpentes (Nyoka)...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania itapata Rais, Makamu na Waziri Mkuu wenye mtizamo na mawazo ya kibiashara?

    Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Jordan wenye takriban miaka 2,000 bado unahudumia watu

    Ancient Nabataeans Water Management: The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering. An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Walemavu waliobomolea vibanda vya biashara waomba hifadhi UNHCR

    Watu wenye Ulemavu waliobomolewa vibanda vyao vya biashara katika Mkoa wa Dar es Salaam, wamepiga kambi usiku kucha nje ya Ofisi za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Masaki wakiomba hifadhi kwa madai ya kushindwa kusikilizwa na Viongozi wa Mkoa na Wilaya.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

    Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa. Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

    Mimi humu sitafuti mpenzi. Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa. Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

    Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
  9. JamiiForums Tanzania Wanapotupita wazungu hata kwa wenye Elimu ya Chini kuliko sisi

    Baada ya kuwachunguza sana hawa watu, niligundua yafuatayo; Huthamini sana kazi (Kazi kwanza) Wana amini kwenye matokeo (result oriented) Hutimiza malengo ya kila siku/wiki/mwezi na yasipofikiwa hutathimini kujua walipo kwama Hufanya kazi kwa weledi na kujituma sana (huingia kazini mapema na...
  10. JamiiForums Tanzania Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  12. JamiiForums Tanzania Wenye diploma wanaula!! Wapo wachache tofauti na kazi zinazohitaji degree ambazo ushindani ni mkubwa kupita maelezo

    Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
  13. JamiiForums Tanzania Vodacom kwasasa ndio wenye unafuu wa bando la intanet

    Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo. Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha. Na unakuta...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye watoto wa kike tuwafundishe hivi

    Kwa wale wenye watoto wa kike tuwaonye kuhusu kupiga mizinga wapenzi wao. Yani kuna demu nimemu approach hatuna wiki na wala hatuja sex tayari leo kanipiga mzinga wa 1.5m eti anadaiwa kodi ya nyumba yani imeshakula kwake nimempiga block;.
  16. JamiiForums Tanzania Songwe: Raia wampiga anayedaiwa kuwa mlinzi wa JKT aliyejificha kukamata magendo

    Thread was deleted
  17. JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  18. JamiiForums Tanzania Scholarship za Canada kwa wenye vigezo

    Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada Opportunity DeskFully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada ... Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada October 10, 2021 2.4kShares A Perfect Time to see Insight of Fully Funded...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Janja janja za wenye Maslahi binafsi Madarakani

    Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi. Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki. Hatuko sawa mbele ya sheria. Pana upendeleo wa wazi ambapo waliopo madarakani kama wawamba ngoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…