wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

    Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort! Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort? Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

    Hawa ndugu zetu wanapatikana wilaya za Kilosa, Morogoro na Kilolo, Iringa. Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma, Chief Mangungo. Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji 1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini? 2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI? 3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector? 4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA? 5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Ifike mwisho na wenye ulemavu wasaidiwe

    Naomba niende kwenye hoja. Watu wenye ulemavu Wana Hali mbaya linapokuja suala la upatikanaji na kutumia huduma za jamii. Mfano mdogo Sana kwenye daladala wanahali mbaya sana. Utashangaa unapokutana na kondakta kichaa.... Huduma ya usafiri kwenye majiji iondokane na matumizi ya mabasi yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Marais wengine wenye uthubutu na ujasiri kama Hayati Magufuli tungekuwa wapi kimaendeleo hii miaka 60?

    Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika. Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
  6. JamiiForums Tanzania Namna ya kujiajiri ukafanikiwa kwa haraka (kwa wenye mitaji)

    Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana sana kabla hujaianza au kuingia. (Usikurupuke) Leo nataka nitoe siri 1 ya mafanikio ya waliofanikiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Japo ni mwana Simba SC kwa 100%, ila Mo Dewji nisikufiche Unatuchanganya mno wana Simba SC wenye Akili kwa Kauli zako zinazochanganya

    Japo nikiri kuwa huwa nawasema mno Yanga SC hapa JamiiForums nikiwa katika Vita yangu Kuu ya Kipropaganda na Wao ili niwadhoofishe na naanza Kufanikiwa ila kwa leo nakugeukia Mwekezaji, Rais wa Heshima Simba SC na Tajiri Mohammed Ghullum Dewji. Mo Dewji ni kwanini huwa unapenda sana Kukurupuka...
  8. JamiiForums Tanzania Wale wenye majina ya Kilatini joining muone maana ya majina yenu

  9. JamiiForums Tanzania Unawajua samaki wenye mbawa wanaoweza kupaa angani? angalia kideo

    Exocoetidae ni familia yenye aina 64 za samaki ambao wana mbaywa na wanaweza kupaa angani. Uppaji wao huwa unafanyika baharini ili akichoka anarudi kwenye maji Samaki hawa wanaweza kupaa mita 6 juu ya uso wa bahari na huwa na mwendo kasi wa hadi kilometa 70 kwa saa, na anaweza kupaa hadi mita...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

    Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science. Mwanasaikolojia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  13. JamiiForums Tanzania Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  14. JamiiForums Tanzania Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters). KARIBUNI KWA MSAADA
  15. JamiiForums Tanzania Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu, tupeane dondoo za biashara ya kuuza saruji (cement) kwa rejareja

    Habari wadau, kazi iendelee Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya simenti tupeni dondoo Kwa maana ya faida, changamoto na namna ya upatikanaji. Hii ni moja ya biashara nayopenda kuifanya japo baada ya kuuliza hapa na pale,kuna jamaa alisema eti Ili uone faida yake ni nzuri mtu akianza na mzigo...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita kwa joto zaidi

    Utafiti wa hali ya joto duniani na mashirika mawili ya Marekani umeonyesha kuwa mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita wenye joto zaidi duniani. Takwimu za hivi karibuni zilizokusanywa na Shirika la taifa la Marekani linaloshughulikia utafiti wa anga za mbali, NASA na Idara ya Bahari na Anga ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisera kuhusu watu wenye ulemavu

    Huwa najiuliza kama watu ambao ni wazima kabisa wa afya tena vijana; kuna muda maisha yanawapiga hadi wanashinda na njaa, hivi tunawafikiriaje ndugu zetu walemavu ambao hawana mikono, miguu, hawaoni n.k? Katika misingi ya distribitive justice serikali kote duniani hukusanya kodi na kuzitawanya...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Katika wale wenye Stress za 2025 hakuna Wamama? naona walioachwa ni Wanaume tu

    Wakuu wa ukumbi huu hemu tujielekeze hapa pia., Mkuu alitwambia wale wenye Stress za 2025 atawapa nafasi zaidi akimaanisha atawaweka pembeni ili wakajiandae zaidi., nataka kufahamu hakuna Mawaziri ambao ni kina mama waliojiingiza kwenye hizo Stress za 2025? nimeona sura 5 sijuwi 6 tu, Lukuvi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…