wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

    Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi. Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tuwe watulivu, busara na hekima itawale asijifanye mtu mwenye nyumba wote ni wenye nyumba

    Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29 Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari na kujiuliza maswali magumu kuhusu mustakabali wa taifa, wakati macho yote yakiwa yameelekezwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuna ushauri ninauomba kutoka kwa baadhi ya watu wenye busara

    Mimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana. Nimefanya sehemu yangu kumuelezea jinsi ninavyompenda na akakubali. Baada ya hapo nae niliona ameanza kunielewa akawa ananitafuta kila mara kunisalimia nami nikawa najituma kwake kwa namna fulani Lakini huyu mwanamke X baada ya muda mrefu...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana Chadema Lissu hajajisalimisha na hatajisalimisha

    Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe. Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi. Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na bado MTU wao Siku sio nyingi anapanda anga la mbali na akiwa na NASA. Dadeki. Soma hiyooo
  7. JamiiForums Tanzania Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

    Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu...
  8. JamiiForums Tanzania CCM inapunguza watu wenye uwezo wa kufikiri

    CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri. CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
  9. JamiiForums Tanzania Gentamycine ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe

    GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana Namkubali sana GENTAMYCINE...
  10. JamiiForums Tanzania Aah! nimepenyezewa hapa, wanaume wenye sura personal wanatumia gharama kubwa kuwapata wapenzi kuliko sisi ma-Handsome

    Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie vizuri na kuwavutia wanawake. Kwa wale ma handsome, napenda niseme, tuko vizuri sana na mambo kwtu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki chakula na watoto wenye mahitaji maalum, asisitiza upendo na wajibu wa jamii

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo Aprili 6, 2026, alipojumuika na watoto wenye mahitaji maalum...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wenye visima wanaosambaza maji kwa wengine wanapaswa kushitakiwa

  13. R

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  14. JamiiForums Tanzania Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

    Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye majina ya Kindamba wanajisikiaje?

    Nikisikiliza wimbo wa Kindamba kuniambia twende huwa najiuliza wanaoimbwa majina yao negatively wanajisikiaje? Mfano wimbo wa Yahaya wa Lady Jay Dee. Na mara nyingi ni waislamu ona mifano. 1. Kindamba 2. Yahaya. 3. Mmasudi amekuwa jambazi
  16. JamiiForums Tanzania Tiba mpya kuboresha via vya uzazi, na urembo sehemu za siri

    My Take Tiba zingine ni upuuzi mtupu 😂 😂 ============ Wakati wanawake wakikabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya zinazohusiana na sakafu ya nyonga, matumaini mapya yanaanza kuonekana kupitia tiba za kisasa, zikiwemo huduma za kurekebisha na kuboresha via vya uzazi pamoja na urembo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

    Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote...
  19. JamiiForums Tanzania MPYA Walimu Wenye Diploma Kushushwa Madaraja

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Katika Mitandao ya Kijamii Hasa Facebook Ikiwa Kuwa Wizara inatarajia Kuja Na Mpango wa Kuwapanga Walimu Kwa Kuzingatia Viwango Vya Elimu Katika Chapisho Hilo Huko Mtandao Lina Habari Kama ifuatavyo ""Serikali imetangaza kuanza kwa mpango wa kuwapanga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…