Wenye majina ya Kindamba wanajisikiaje?

Wenye majina ya Kindamba wanajisikiaje?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,457
Reaction score
42,572
Nikisikiliza wimbo wa Kindamba kuniambia twende huwa najiuliza wanaoimbwa majina yao negatively wanajisikiaje? Mfano wimbo wa Yahaya wa Lady Jay Dee. Na mara nyingi ni waislamu ona mifano.

1. Kindamba

2. Yahaya.

3. Mmasudi amekuwa jambazi
 
Huelewi fasihi Mkuu.

Majina yatumikayo katika fasihi huwa ni ya kubuni tu . Na ikitokea yamefanana na mtu halisi hiyo ni bahati mbaya tu
 
ATHUMANI akishalewa anashindwa kujielewa talila Lila chicha limemkolea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom