wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazazi waomba kambi ya wanafunzi wenye ufaulu wa chini iendelezwe

    Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
  2. PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  3. J

    GUTA

    Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA. Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
  4. Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

    Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali). Na walipoona hivo, waliogopa...
  5. Kwanini wenye 'Lower Second Class' kuanzia 3.0-3.5 GPA hubezwa, ila wenye 'Pass Grade' 2.0-2.9 GPA 'hawabezwi' wakati Wao ndiyo Wamefeli mno?

    Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
  6. Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

    Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
  7. Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  8. R

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
  9. H

    Kama kweli kuna wataalum wa nguvu za asili wenye kuweza kulipiza mabaya kwa mabaya basi walipize kwa uonevu unaotokea Tz

    Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo. Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na...
  10. 4

    Wenye uwezo wa kuaplod nimbo ya Dr Remmy ya Nyerere naomba waweke hapa mie ni nimendwa kuna ma madini Mle

    Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje? Ni baadhi ya maneno yapo kwenye wimbo ule ,tafadhari ,wenye uwezo kuuleta winbo husika ebu fanya hivyo...
  11. Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  12. Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  13. C

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
  14. Gen Z ndo kizazi bora na cha watu wenye upeo wa juu wa uelewa

    Gen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
  15. Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  16. R

    PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  17. R

    Said Miraji: Tunahitaji wabunge wenye uelewa na ufahamu zaidi wa kukosoa hoja

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
  18. The End of the End of CHADEMA on planet Earth - Ngoma ilivuma sasa inapasuka (Watu wote wenye akili wanajua hili)

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao. Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na...
  19. GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  20. M

    ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…