wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 Mfumo wa elimu wenye tija kwa jamii ya sasa

    Elimu ni utaratibu unaotumika kurithishana ujuzi kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine ambappo mfumo huu unaweza kuwa rasmi mfano ile elimu inayotolewa katika taasisi mbalimbali za elimu kama shule za msingi, sekondari na chou pia mfumo unaweza usiwe rasmi ambapo mtu anapata ujuzi kutoka...
  2. Anayejua godown za pipi za jumla na agenti wa usambazaji kwa maduka ya jumla naomba kujuzwa

    Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
  3. C

    SoC03 Wakati Sahihi wa Mabadiliko yenye tija katika Kilimo cha Mifugo kuelekea ufugaji wenye tija kwa jamii ya Kitanzania

    Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni 01. Utunzaji wa Mazingira 02. Afya za wanaadamu na 03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
  4. CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini. Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini. Kumuunga mkono Rais ni...
  5. Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa

    Wakuu! Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa.. Tubadilishane uzoefu... Furaha zake na namna ya kuwalinda wahindi wetu 😊😊
  6. Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  7. SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  8. Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  9. SoC03 Jeuri ya Sisimizi: Kujifunza Kutoka kwa Wadogo Wenye Uwezo

    JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO Imendikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga makazi na kujihami. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kutoka kwao ili kupata mawazo mapya na mikakati...
  10. Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili. Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo...
  11. Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
  12. Wazungu wengi wenye gundu la mahusiano nchi zao wakija bongo huokota kirahisi watoto wakali

    Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi. Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu. Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na...
  13. SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  14. Hawa ndio watu wenye akili duniani, anaingiza billioni 4.8 kwa mwezi kwa kazi ya kulala

    Mrembo Kaitlyn Siragusa maarufu kama Amouranth ni moja ya watu maarufu duniani wanaoingiza pesa nyingi bila kutumia nguvu. Ana followers milioni 3.7 twitter na subcribers milioni 6.4 kupitia mtandao wa Twitch na subcribers laki 9 youtube, anaingiza dola milioni 2 kila mwezi sawa na Tsh bilioni...
  15. SoC03 Kuwawezesha Wazee na Watu Wenye Ulemavu: Jinsi ya Kuheshimu Haki na Ustawi Wao katika Jamii

    KUWAWEZESHA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU: JINSI YA KUHESHIMU HAKI NA USTAWI WAO KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Muktadha: Wazee na watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu. Hata hivyo, mara nyingi wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ubaguzi, unyanyapaa...
  16. Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

    Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee...
  17. Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

    Ukweli usemwe tu kuna wadada wa ajabu sana. Wengine sura zao zimekomaa kama za madume kulegea hawataki. Unaeza kuwa nae chumbani mpaka ukashtuka yani wanakaza sana kama sisi madume anakaa kama dume ule utamu wa mwanamke haupo kabisa na wanafanya mapenzi kama hawataki yani hawataki kujishusha kwa...
  18. Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

    Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
  19. Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  20. B

    Je ni kweli mabinti wengi wenye miaka 18-24 hawataki kuolewa kwa muda huo?

    Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime age/wako popular kwenye market.. Harakati za "binti" pia sielewi, kule FB kuna NGO imeanzishwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…