Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,123
1,921
Ukweli usemwe tu kuna wadada wa ajabu sana. Wengine sura zao zimekomaa kama za madume kulegea hawataki. Unaeza kuwa nae chumbani mpaka ukashtuka yani wanakaza sana kama sisi madume anakaa kama dume ule utamu wa mwanamke haupo kabisa na wanafanya mapenzi kama hawataki yani hawataki kujishusha kwa mwanaume wanakaza muda wote.

Kwenye mapenzi 5% mke huyu ukimuoa usitegemee kubembelezwa wala kuheshimiwa hiyo kitu sahau kabisa, baba kambale mama kambale wote wana ndevu.

Wanaume wengi waliozaliwa mikoa hiyo huwa wanaoa makabila mengine kwasababu wanajua thamani ya mme ni nini sio hawa majikedume ambao hawana unyenyekevu kwa waume zao.

Wanawake wengi wenye hizi tabia majadiliano yao mengi ni kuhusu kutukomoa sisi wanaume hawana kabisa jicho la haya, jicho la kike, binti huyu anakutolea jicho kama jogoo bana sasa mwanaume ni yupi hapo.

Ndugu zangu mlio oa wake wenye tabia hizi poleni sana kwa changamoto mnazipitia.
 
Tabia (unaweza ifanya ikawa weak au strong ).. kama una mwanamke ana tabia za kiumez tafuta weakness yake, mfunike na kifuniko cha mapenzi na atakuwa na tabia za kike.

Mwanamke yoyote anataka kupendwaa.. ukiona wako ana tabai za kidudubaya.. ujue kuna mahala ujacheza napo.. sio mbinu ya hakika 💯
 
Na huwa haileti hata ile maana halisi ya mwanamke.
Uko na mwanamke lakini kama uko na mwanaume.
Sana, mahusiano bana mme ajulikane ni yupi na mke ni yupi, sio mke anakuwa kama mme tena kukaza kwa sana kama sisi wanaume, ni ujinga flan hivi. Raha ya mtoto wa kile alegee, sauti nyororo sio gubegube
 
Back
Top Bottom