wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  2. Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

    Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu, Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu...
  3. E

    Kuanzia sasa nitaheshimu watu wa NNE TU SERIKALINI, wengine wote tutakula nao sahani moja

    Iweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee iwe iiwe iiweeeeeeeeeee Ndani ya serikali ya Tanzania nitahoji na kuuliza kila kitu kinachofanywa na watumishi wa serikali kwenye kila nyanja mbalimbali ila tusi lanhu kubwa nitakalo watukana wafanya ubadhilifu na majuha ndani ya serikali itakuwa ni...
  4. Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  5. N

    Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  6. L

    PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
  7. Ukraine: Watatu wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika shambulio la Urusi Dnipropetrovsk

    Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza. Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
  8. GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  9. B

    Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  10. Wazazi wetu walikataa kujihusisha na siasa. Tusilalamike wazazi wa wengine waliowanasiasa wakiwateua watoto wao.

    Sina Deni! Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli. Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi. Mtoto wa Mkulima ni Mkulima. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli? Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
  11. R

    Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  12. Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

    Hawa wa Israel ni changamoto sana.
  13. Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  14. Siyo kila anayekuja Kukuangalia Wodini Hospitalini ukiwa Hoi / Mahututi anakupenda kwani wengine hutaka Upone ili Wao waje Kukumalizia kabisa

    Nadhani wote hapa tumeelewana kabisa na kama haujauelewa huu Uzi wa GENTAMYCINE mtafute Genius akufafanulie.
  15. Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

    Tumemkosea nini Mungu sisi!
  16. M

    Tufungulieni mtandao wetu pendwa wa X wengine tunafaida nao.

    Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki...
  17. Bodi ya Simba yashinikiza Mangungu kujiuzulu, Yakana kuwatambua viongozi wengine walioiwakilisha katika mazungumzo Ikulu

    Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na...
  18. Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
  19. PreGE2025 Mzee Wasira: Mitano Tena" ni kwa Samia, wengine watasubiria mchujo

    My Take Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
  20. PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…