wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  2. Kasulu, Kigoma: Wajawazito wapanda kwa zamu kitandani kujifungua, wengine walazwa chini

    Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja. Chanzo: Nipashe
  3. Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa! Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
  4. Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  5. Fahamu faida za kuwafundisha wengine kile unachokijua

    Hukuongezea Maarifa Kufundisha wengine ni njia bora ya kuongeza Maarifa yako kwasababu utahitajika kujiandaa kwa kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ili uweze kufundisha vyema Huwezesha kujitathmini Njia bora ya kujitathimini ni kwa kufundisha wengine kile unachokijua kisha uwaruhusu wakupe...
  6. Azam TV tafuteni mabondia wengine , Twaha kiduku na Dulla Mbabe tumewachoka , ni local boxers , nje hawafiki hata round 3

    Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote . Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa...
  7. T

    SoC01 Jinsi nilivyofanikiwa kujiajiri baada ya kumaliza chuo. Mikakakati, fursa, changamoto na ushauri

    Habari wanajamiiforum, Namshukuru Mungu na natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote maisha yangu yanaweza kuwa funzo kwenu vijana mliokosa ajira baada ya kumaliza Chuo. Mimi ni kijana niliomaliza shahada ya ualimu mwaka 2019 ambapo baada ya kumaliza Chuo na kusubiri ajira takribani mwaka mmoja...
  8. N

    Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

    Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao. Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali...
  9. Ni vipi kusaidia wengine kutaboresha maisha yako?

    Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji. 1.Utakuwa na furaha zaidi 2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii. 3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu. 4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi. 5.Inaweza kufanikisha...
  10. Developers na Wadau wengine, njooni muone.

    Mnalionaje hili? kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi? MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA AKAMJIBU ETI, BASI ACHA TU NITATAFUTA DEVELOPER MWINGINE WEWE UNA MAMBO MENGI. Sasa mtu kama huyu...
  11. MONUSCO DRC: Je Kenya Itaenda kuingiza Nguvu Mpya Kule Congo ama Tutazembea Ka Wengine?

    MONUSCO Force Intervention Brigade FIB imekua DRC kwa miaka 8 sasa ikijaribu kuleta amani eneo la DRC, wakati ilipoanza ilikua adui mkubwa ni M23 (kama sijakosea) ambao walimumunyika na kupotea ndani ya raia wa kawaida kisha baadae wakaanzisha vita vya guerilla, Sahii M23 hawatajiki tena lakini...
  12. Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

    Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea. Nukuu Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua...
  13. Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama Mwalimu nyerere memorial academy Mwalimu nyerere international airport Nyerere hydroelectric power Nyerere...
  14. Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

    Nimesikitishwa sana na tabia ya baadhi ya watanzania kuonyesha uwezo mkubwa wa kutabiri vifo, kuvifuatilia vitokepo na kusema sababu ni UVIKO-19 na kadhalika. Ni juzi tu tumeondokewa na aliekuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa. Haijaelezwa kinaga ubaga kuhusu kifo...
  15. M

    Simba SC na Dar Young Africans zilipishwe kodi kama wengine

    Najua wengi wataudhika lakini wizara ya fedha chini yabkijana shupavu Waziri Mwigulu Nchemba wawawekee timu hizi 2 utaratibu wa kulipa kodi kama makampuni,mashirika,viwanda n.k kodi haibagui. Kodi sio hiyari ni lazima.Simba na Yanga waajiri wahasibu kama makampuni mengine na wautangazie umma...
  16. R

    Askofu Gwajima, Hutaki Kuchanja Nakuelewa, Lakini Kwanini Unashawishi na Wengine Wasichanje?

    Kwa muda mrefu sasa Askofu Gwama ametangaza wazi wazi kwamba hataki kuchanja chanjo ya Corona, ninamuelewa kwani ni haki yake binafsi kukataa, maana chanjo ni hiari. Mahali ambapo simuelewi ni pale anapofanya kampeni ya makusudi, ya waziwazi, tena kwa kutumia lugha kali sana kuwashawishi na...
  17. Ali Kiba nae kaanza ku promote video zake kwa kulipia mtandaoni

    Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
  18. Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa. Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na...
  19. Wacheni wengine tufe. Mbona mnatulazimisha kuchanjwa wote?

    Ukimwi unaua, Malaria inaua, tb inaua. Hivi vinaua mamia kila mwaka. Hamtulazimishi kuvaa condom, kuchanjwa kama kuna chanjo, kutumia chandarua... Ila hapa tu ndo wazungu mnatulazimisha.kwa nini? Kwa kweli nmekosa nimjibu nini huyu jamaa fala kabisa. Hataki kuchanjwa na wakati namwona mwilini...
  20. Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…