wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hebu acha ushamba wa kusema eti ๐—ฆ๐—ต๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€ ๐—ฎ ๐—ฑ๐—ผ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ ๐—ถ๐—ป ๐—น๐—ฎ๐˜„ Sema SHE has a doctorate in Law!

    Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana ๐—ฑ๐—ผ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango cha shahada ya tatu yaani (PhD!) Acheni ujuaji
  3. JamiiForums Tanzania Bila kuwa na Boda Boda, tungekuwa na majambazi wengi

    Tanzania tumshukuru mchina bilakuwa na boda boda tungekuwa na majambazi wengi , kuna sura unakutananayo unaona kabisa hii bila boda boda Ingetoa roho za watu , vijana wengi wamejishikiza kwenye boda boda
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawanielewi ninaposema nina malengo ya kugombania urais mwaka 2035

    NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi nakubali walikufa 500 siku je ni wachache hama wengi? Je waliuwa ili waingie ikulu? Au walikuwa wanazuia watu batili wasiingie ikulu?

    Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
  7. JamiiForums Tanzania UZUSHI Yoweri Museveni Afrika ina wajinga wengi sana

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana. Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  9. X

    JamiiForums Tanzania Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

    Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu. Hiyo ni tofauti na miaka ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

    Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanabakwa ila hawasemi /hawajui maana wanachukulia kama "Zali la mentali"

    Kama ulifanya mapenzi bila ya ridhaa yako /kulazimishwa, maana yake ulibakwa, hili linawakuta wanaume wengi sana ila wao wanaona kama ni zali la mentali. Mimi kuna dada alinibaka na hadi leo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu. Kipindi nilienda likizo kwa bibi, kule kuna nyumba mbili, moja...
  14. JamiiForums Tanzania Waimbaji wa nyimbo za injili wengi wao ni aibu kwa Kristo (NENO) wanaliabisha kanisa

    1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ni wepesi kuvutiwa kimapenzi unapowafariji, nimekuwa makini kuzingatia mipaka kwenye ufariji kupunguza msururu wa wake za watu inbox

    Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. ๐Ÿข Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. ๐Ÿ”นMaduka yanapatikana kuanzia: โ€ข...
  18. JamiiForums Tanzania Pasipo kujijua, watu wengi wanaamini katika nguvu za giza kuliko nuru

    Habari familia yangu ya JF, Katika hali ya kushangaza lakini yenye ukweli mkubwa kuna kundi kubwa sana la watu wanaamini katika nguvu za giza zaidi ya wanavyoamini uwepo wa Mungu, pamoja na ukuu na uwezo wake. Jambo la kuvutia ni kwamba, watu hawa si wageni wa ibada. Wapo wanaohudhuria...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wengi wa Tanzanian wamesoma nchi za magharibi. Hawajui vizuri historia ya dunia

    Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha. Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
  20. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wajanja wengi wamejificha, kidole mdomoni, wanaadabu. Onyo la MO29 ni mpumbavu pekee anaweza kulipuuza

    Hamjambo wote! 1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano. 2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza ku-project matukio, lakini ninakuhakikishia ukweli ni kuwa MO29 ingefanikiwa walau kwa 50% mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ