wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  2. N

    Watanzania wengi wanasema Rais Samia anaendelea kuvunja rekodi

    Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya. Rais Samia...
  3. M

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Habari za humu! Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha. Nimeishi Kusini yaani...
  4. Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

    Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali. Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
  5. Masekretari wengi wa ofisini wanaliwa na mabosi ndio maana wanadharau wateja

    Habari za asubuhi Wana JF, Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi. Nilienda field mkoa X ofisi niliofikia kulikuwa na secretary mmoja she is beautiful Ila alikuwa...
  6. Sababu Za Mwanaume Kuwa Na Wanawake Wengi

    Kila mtu na mapenzi yake apendayo. Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya mtu binafsi. Hivyo, wakati unaamua angalia sababu hizi. Twende nyuma kwanza, zamani utajiri...
  7. Watu wanene (vibonge) ni waungwana sana ila wengi ni matapeli

    Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye smuggling ni kugusa tu. Ongeza umakini unapokutana na dalali bonge.
  8. J

    Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  9. K

    Watanzania wengi ni waoga au wanafiki?

    Nakumbuka wakati wa Hayati Magufuli hata hapa mtandaoni kulikuwepo na watu ambao walikuwa wanapongeza hata mambo mabaya. Wadau wengine walikuwa hata wakisema watu wanaopinga serikali wanajiteka, wengine walijiaminisha tu kipambe kwamba Corona itapiga nchi nyingine zote lakini haitaingia kwenye...
  10. Wanaomchukia Rais mitaani wengi ni Wanawake, ila wanaoandaa Kongamano Kubwa Kumsifu Rais kwa miaka yake Miwili ni Wanawake hao hao

    Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli. Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb. Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
  11. Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  12. S

    Wazee wetu waliishi miaka mingi sana sababu walioa wake wengi

    Ukifanya utafiti chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume wengi ni stress za ndoa. Mwanamke mmoja ukiishi nae anakuzoea anakuona sawa na mtoto mwenzake. Majukumu ya nyumba wanaachiwa wadada wa Kazi, hata ukizeeka Wana ungana na watoto kuwa kitu kimoja baada ya kuwalisha sumu, hawatambui mchango...
  13. Kwanini biashara ya Figo inapigwa vita wakati wahitaji wa Figo ni wengi? Figo sio damu watu hawawezi kujitolea bure

    Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo. Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea. Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
  14. Kwa kutowaita Kapombe na Tshabalala Taifa Stars na kuita Wengi wa Yanga SC naiombea Laana ifungwe

    Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho? Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida? Tafadhali GENTAMYCINE...
  15. Wana-CCM wengi hawana uelewa wa mambo, hawawezi kujenga hoja

    Ukimaindi Poa! Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo mngeweza kuyaeleza kwa uongo unaoleta mantiki kidogo kuliko hizi siasa za kitoto za kum-quote Mbowe...
  16. B

    Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

    Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
  17. Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  18. Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

    NB: Woooote isipokua bwana dronedrake , Stress Challenger, mzabzab, 😂😂
  19. Kauli ya vijana wengi wamejiajiri kwenye bodaboda ina usiasa mwingi ndani yake

    Kuna kauli mpya mjini imezuka iliyoletwa na jamaa wetu wa ma'mbele, kuhusiana na vijana na bodaboda. Ningetumia fursa hii kuliomba Baraza la Kiswahili nchini (BAKITA), kukipa neno "Lema" kama neno jipya likimaanisha kisawe cha bodaboda. (Hapo tutasema mangi kaupiga mwingi). 😂😂 Utani Mangi...
  20. Wabantu wengi si wabantu halisi, ni mbilikimo

    Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi wa asili wa huku walikuwa nani? Huku kulikaliwa na mbilikimo, wabushmen(San) kama wakhosa wa South...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…