"Mfumo haupendi watu smart."
Watu wengi wakisikia kauli hii huifikiria vibaya. Lakini sikumaanisha kwamba mfumo unachukia watu wenye akili.
Ninachomaanisha ni kwamba, katika mazingira mengi, mfumo huogopa watu wenye maono makubwa, wanaouliza maswali magumu, na wanaotafuta mabadiliko ya kweli...