wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu wengi wameoa/kuolewa kwa kufata mkumbo na imewagharimu sana

    Jipange vizuri kiuchumu, tafuta mwenza sahihi, usisikilize maneno ya watu au fulani kaoa ngoja na mimi nioe try at you own risk. Jipange kwanza usifate mkumbo
  2. T

    Nilikuwa nasoma kuhusu HIV nimegundua kuna uwezekano vijana wengi sana ni waathirika wasiojua

    Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv, Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+, Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea. Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
  3. Ukiwa na ngozi laini/ nyororo, watu wengi hukuchukulia kama mzembe mzembe

    Watu wengi wakikuona wanakuchukulia kama uko mzembemzembe wakiona ngozi yako laini na haina kash kash au mikwaruzo n.k, kumbe hawajui mtu unaweza ukawa na ngozi laini lakni ukawa mtu mgumu kweli kweli. mi kazi ngumu nafanya sana na wala sifanyi skin care mara nyingi, ni vile tu ngozi yangu...
  4. M

    Mikoa inayoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    1. Arusha - Ni mkoa wenye historia kubwa ya kutoa shule nyingi zinazoongoza kitaifa, watalii wengi wakifika Tanzania wamezoea kutoa misaada mingi Arusha ikiwemo ya kielimu, pia kuna shule nyingi International ambazo wanafunzi huenda kusoma vyuo vikubwa vya ulaya na Marekani. 2. Kilimanjaro -...
  5. KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  6. Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
  7. Mwanamke anayetafuta mwanaume mtandoni wengi wa athirika wa ukimwi, umri umeenda au single maza

    Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya 30 hana changamoto ya feza na hana ukimwi akatafuta mwanaume mtandaoni
  8. Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  9. O

    Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

    Eti kujitambua ni nini? Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo. Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist...
  10. A

    KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  11. M

    Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo.

    Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote. Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae Gari kunywa sana mafuta Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili Gari...
  12. WAMAMA PUNGUZEN HIZI KAULI KWENYE NDOA ZENU WANAUME WENGI WAMEPINDA NA MAISHA SIKUHIZI USIONE ANACHEKA NYUMBAN

    WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔 Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
  13. Soma kwa Bidii, Maliza shule maisha yakuchanganye: Ukweli Ambao Wengi Hawakuusema Wazi

    Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa. Kwa Nini Hili Ni Muhimu Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu: kuwa mtoto mwema kufuata sheria kupata alama nzuri kubaki salama kusubiri “baadaye” Halafu “baadaye” ilipofika, ilionekana...
  14. M

    Kwanini kumekuwa na motivation speaker wengi Sasa hivi hasa katika uwekezaji wa hisa, hatifungani

    Wadau tutafakari wote pamoja,kwanin Sasa hivi kumekuwa na wanaojita washauri wa uwekezaji wengi hasa,wanashauri mambo ya hisa,hatifungani Kwani hawashauri watu wawekeze katika uwekezaji wa viwanda na biashara Kuna nini nyuma Hadi uhamasishaji umekua mkubwa Kila mtu nimshauri wekeza kwenye...
  15. Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

    Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa. Rais Trump, viongozi wa ulaya na...
  16. NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Tarehe 2 Septemba 2022, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemia Mchechu alisema yafuatayo wakati akiwakilisha mipango waliyonayo NHC kwa wadau wa Sekta ya Milki Nchini ambapo SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema hivi karibuni linatarajia kuanza ujenzi wa 'nyumba za...
  17. Kwa nini Watanzania wengi wapo upande wa Lissu?

    Najiuliza sana hili swali. Wengi wanasema Lissu anaonewa na kuteswa bure. wamama, wazee na vijana mitaani wapo upande wa Lissu. Why?
  18. Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  19. Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli. Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
  20. Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…