Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

Oeni Mfanye Maisha Haya Mengine Ni Ajali Kazini Tu Usiogope
Wanaume mmebaki wachache! Ila hawa gen z labda vijana wa kikurya ndiyo wapo kwenye kundi la wanaume ila hawa kataa ndoa mmh
 
Kupenda ni kazi ya mwanaume

Mwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO HAUNUNULIKI.
Kumgharamia mwanamke sana hata UMUHONGE DUNIA haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE.

Penda usipopendwa for your own risk
 
Wanawake naombeni mbadilike.
Kuwaambia wanawake wabadilike waache kufuata maslahi kwa wanaume na kujifanya wanawapenda, ni sawa na Mkristo kutegemea mama atabadili dini na kuwa Mkristo ili Wakristo nao wafaidi na teuzi. Endelea tu kujipa tumaini
 
Back
Top Bottom