*Katika dunia ya sasa, mtindo wa Tomboy Chic au uvaaji wa nguo kubwa (Oversized/Baggy clothes) umekuwa mtindo mkubwa sana wa fasheni duniani. Wasichana wengi wanakuwa matom-boi kama sehemu tu ya kufuata mitindo ya kisasa na kuonekana wa kisasa (trendy).
*Pia tabia za kukaa sana na wavulana
*Malezi
Mfumo wa maisha ya kule unaomfanya mwanamke kuwa mtafutaji.
Kuna harakati za utafutaji hela zimekaa kiume , sasa ukienda ki kike utaishia kushikwa manyonyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.