wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. MSAADA: Kuwafikia wateja wengi kwa njia ya sms

    Wakuu kwema? Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote. Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa. Asante, nasubiri mchango wenu
  2. Smart911 na Mahondaw tupeni mbinu vijana wenu maana maadui wa penzi letu ni wengi mno

    Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu. Tunatanguliza shukrani...
  3. K

    Watu wengi wameingiwa na uoga wa kuikosoa serikali,kila mtu kabaki kusifia kwa kuogopa kufanyiwa mabaya

    Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM, Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
  4. RPC Safia Jongo: UTPC tusaidieni Geita, Waandishi wengi hawana Maadili

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani hapo kwa kile alichodai kuna changamoto ya utendaji na kukosekana kwa weledi. Akizungumza katika...
  5. Msiba mkubwa kwa wafanyabiashara walio wengi

    Katika biashara, si kila anayepita anaweza kuwa mteja wako. Kama hujawahi kukaa chini na kufahamu ni nani hasa anayehitaji bidhaa au huduma yako unaendesha biashara kwa kubahatisha. Na bahati mbaya haijawahi kuwa mkakati wa mafanikio. 1. Fahamu Mahitaji ya Wateja Wako Kabla hujatangaza au kuuza...
  6. Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani Wapo wanaokaa madukani lakini kijana ndiye anawaachia kuhudumia wateja na kupokea pesa Huu ni mfumo tofauti na...
  7. Wanawake wengi wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuwq na maadili na heshima Tanzania hii!!

    Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu We fuatilia ndoa nyingi sana...
  8. FAIDA⏭️AKIBA⏭️ZIADA. Ziada ndio ilipaswa itujengee nyumba, ka-usafiri, etc ila wengi wetu hatutakuja kuiona hio ziada na sio kwamba hatuna jitihada.

    Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua ni tamu ina gharamas sana. Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao...
  9. DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  10. Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    Wasalaam We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6. Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
  11. Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  12. Mjue Mtekaji huyu mahiri duniani: Ameteka watu wengi bila pingu wala silaha!

    Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa vijana, maskini kwa matajiri, na hata wasomi wenye PhDs. Ajabu ni kwamba anaowateka hawalii, wanacheka tu...
  13. Amri ya Mungu ilivyopotoshwa na wengi

  14. K

    Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  15. Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba

    Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
  16. W

    Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  17. Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

    Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
  18. Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

    Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
  19. W

    Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  20. Nawakumbusha tu vijana, hizo nafasi mnazozitaka kwenye majimbo na kata wengi wenu zitawatokea puani. CCM nawajua vizuri

    Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka. Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…