wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndo mechi inayoshikilia record ya kuingiza mashabiki wengi kwenye historia ya mpira wa miguu ulimwenguni

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu. Mechi hiyo ya kirafiki Manchester...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Internet ni haki yako; tumia kwa manufaa ya wengi

    Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu. UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la). Hata hivyo Jamii Forums...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Wosia: Jambo la Muhimu Linalosahaulika/Kupuuzwa na Wengi

    Wosia ni kauli ya hiari inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake ikionyesha mgawanyiko wa mali/mirathi pamoja na muongozo wa familia yake baada ya kifo chake. (tafsiri ya kisheria) Katika jamii ya Kitanzania, kumekua na mitazamo mbalimbali juu ya kuandika wosia na wenegi wamekua wakihusisha na...
  4. JamiiForums Tanzania UN: Ukosefu wa ajira na elimu hufanya wengi wawe wahanga wa biashara ya binadamu

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
  5. JamiiForums Tanzania Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 ERGONOMICS: Watu wengi wanaumia kwa kukosa Elimu hii

    UTANGULIZI. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa ya watu wengi kupata maumivu ya viungo sehemu mbalimbali za mwili. Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu kupata matatizo ya kumwa viungo vya mwili lakini sababu moja wapo ni ukosefu wa elimu ya Ergonomics.Kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  9. JamiiForums Tanzania Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa The Black Death ulioua watu wengi zaidi kwenye historia ya dunia

    Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea. Sababu ilikua moja ya bandali kubwa ya kibiashara watu walisogea ili kupokea meli hizo na kupigwa na butwaa baada...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai. Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  13. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Kama kweli basi wengi tumo

  15. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya sawa, lakini unadhani watu wengi wana weledi wa kutosha: Case Study South Africa

    Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo. Nadhani kuwe na...
  16. JamiiForums Tanzania Alichosema Anthony Diallo kinasemwa na Watanzania wengi chinichini

    Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura, kiongozi mdini, kiongozi mbadhilifu, kiongozi mkabila na kiongozi kichaa ambaye wananchi hawawezi...
  17. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wa Tanzania ni Opportunist wakubwa, Walaghai na Wabinafsi

    Hawa wasomi njaa hawa kipindi kile cha nyuma walitusababishia ikawa ukienda kula ndizi choma na mishkaki unawekewa kavu na ukitaka chachandu unatakiwa ulipie. Yaani Ghafla Chachandu ikawa dawa ya Corona. Kwa utafiti gani haijulikani. Yaani sisi watu wa hovyo sana. Wauzaji chips wakawa sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni. Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wazamiaji' wengi wa Harusini ( Shughulini ) ndiyo huongoza kwa Kufakamia Vyakula na Kunywa Bia hadi Kulewa hovyo?

    Nasubiri kwa hamu sana tu Majibu yenu.
  20. JamiiForums Tanzania Watu sumu tuko wengi kila mtu kwa namna yake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…