wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamini wanawake wengi ni malaya

    Habari za muda huu Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie?? Akasema yeye hafanyi biashara Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinafanya viongozi wengi wa vyama vya upinzani kuonekana wana akili ?

    ni ipi sababu ya hawa jamaa kuonekana hivyo wakati kielimu wengi wako chini kuliko wenzao wa chama cha mapinduzi
  4. JamiiForums Tanzania Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji wengi wa kisabato wana hali za kawaida kifedha

    Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha. Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania. Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'. Yaani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa na watoto wengi, kuna faida ama ni hasara?

    Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache. Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto anakuwa yuko tayari kujitegemea kwa mahitaji yake mwenyewe pale anapofikia miaka 30 na kuendelea...
  8. JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Amos Makalla nani Kakudanganya kuwa Kiongozi Kushangiliwa na Kuitikiwa na Watu wengi ndiyo Wanamkubali na Kumpenda?

    RC wa Dar es Salaam Amos Makalla haimaanishi kuwa Umati mkubwa na Shangwe lao likija Kukusikiliza na Kukuona au kumuona Bosi wako Kitaifa uliyekuwa ukimpamba mno Jana Kigamboni, basi ni Ishara tosha kuwa wanakukubali na wanakupenda. Zifuatazo ni sababu za Nyongeza za Umati mkubwa wa Watu...
  9. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi huwaandikisha watoto shule za awali wakiwa na umri wa miaka mitano

    Inawezekana ni kukosa hela au sababu nyingine suala linalofanya wazazi wawapeleke watoto shule wakiwa na miaka mitano ili wakiwa na miaka sita waingia Darasa la kwanza. Hii ni sababu ambayo nimeitoa mimi kwa kuwa Shule za awali nyingi zinamilikiwa na serikali, i.e katika shule 18,554...
  11. JamiiForums Tanzania Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

    Ng'wanakapolo tafsiri yake ni mtoto wa Kapolo. Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu. Miaka ya 1970s hadi 2000 jina hilo lilivuma sana kwenye mji wa Magu uliopo mkoani Mwanza. Hata kama hukubahatika kumuona kwa macho hakika jina lake ungelisikia tu likivuma maana huyu ndiye...
  12. JamiiForums Tanzania Natabiri miaka 50 ijayo watoto wengi hawatawapenda Mama zao. Upendo utarudi Kwa Baba

    Bila Shaka muwazima! Kama kichwa kinavyoeleza hapo. Natabiri miaka 50 ijayo wamama wengi watachukiwa na watoto wao wa kuwazaa. Ule upendo wa mtoto Kwa mama utafutika. Chuki itatawala. Upendo watauhamishia Kwa Baba zao ambao hata hivyo Kwa bahati mbaya hawatakuwa Baba wazazi isipokuwa Baba...
  13. JamiiForums Tanzania Ukikuta hela kwenye mifuko ya suruali wengi tunazichukulia ni ujira wa kazi ya dobi

    Wakina kaka wanahamaki wanapokumbuka pesa zao kwenye mifuko ya suruali. Zile pesa huwa tunabadilishia menu nyumbani na kujilipa kwa kazi ya udobi. Mbona mna kuwa wapole tunapokuta condoms mifukoni?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa kawaida pamoja na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kizazi cha sasa wengi ni legevu, hali inatisha sana

    Nyakati ngumu hutengeneza wanaume imara, wanaume imara hutengeneza nyakati zenye wepesi, nyakati zenye wepesi hutengeneza wanaume legevu, wanaume legevu hutengeneza nyakati ngumu. Kukosa mazoezi - wengi wapo kwenye viti makazini au darasani muda mwingi, kutembea ni kidogo sana usafiri umekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati apewe Waziri anayeaminika na watu wengi ili hata akisema lipo tatizo aaminike

    January si Waziri asiyeaminiwa na wengi hata michango ya watu iwe mitaani ama humu mitandaoni ukweli huo unajidhihirisha. Sasa ili kuwe na kuaminika tena kwa matatizo yahusuyo Nishati nikuombe Rais Samia teua Waziri mwenye japo chembe ya kuaminika na wengi wetu awe Waziri wa Wizara hiyo. Bado...
  18. JamiiForums Tanzania Tunduma: Uwanja wenye wingi wa majajusi

    Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda. Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wawe wa kuchaguliwa au kuteuliwa hawapendi kukosolewa. Nchi haitaendelea kwa ujuaji tuu,ni hadi tukubali kukosoana bila kificho

    1. Ujamaa ulikufa kwa sababu ya viongozi kushupaza shingo kwa kukataa kukosolewa. 2. Viwanda vilivyobinafsishwa ( japo sera ilikuwa nzuri) haijulikani abc za nini kinaendelea. Wachina wako busy kuimarsha vya kwao na malighafi nyingi hazitoki kwenye jamii ili ipate maendeleo. Bunge likikosolewa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

    Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu. Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano: Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara Kwanini Zanzibar maridhiano ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…