wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo.

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
  5. G

    JamiiForums Tanzania UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wengi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi hatupati stahiki zetu, pia kuna mazingira ya upendeleo

    Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu. Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi kwa kujituma lakini linapokuja suala la kupata stahiki zetu za kisheria kama posho, malipo ya muda wa...
  8. JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Usiingilie ugomvi wa Wakubwa! Ndicho kinachoenda kuliza wengi

    Hallelujah! Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha. Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia. Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanachanganya haya maneno mawili: best & favorite

    Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.” Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali kuwa ndicho bora zaidi, lakini kisiwe Favorite chako. Vivyo hivyo, kitu kinaweza kuwa Best na...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
  12. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

    Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm Buguruni-DSm Mbagara-Dsm Mwananyamala-DSm Sinza-Dsm Mbezi Magufuli-Dsm Kigogo-Dsm
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawapo kwa ajili yako,wapo kwako kwa manufaa yao siku ukibaki wewe utaelewa hili

    pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho. Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili. Mungu wakati mwingine anakuruhusu "ubaki wewe" ili akufundishe somo ambalo vigelegele haviwezi kukufundisha. Unapobaki wewe...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  16. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

    Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nyuzi zipi zina wachangiaji wengi?

    Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa. Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya watu wengi ipo machoni mwao

    Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile. Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako. Makusudi yako yatafichwa na kukenua kwako ila sio macho yako. Machungu yako yatafichwa na kuchangamka kwako ila sio...
  19. JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

    Hamjambo! Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani. Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha. Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…