Neno Wema hawafi ni neno la Kiswahili lenye maana 'Ukitenda wema wema wako haufi hata ikiwa kaburini wema wako hauwezi kufa'
Hiyo ndio maana ya neno Wema hawafi. Unavyoona mtu kama Magufuli amekufa bado anakumbukwa na kutajwa kila mahali ndio maana halisi wema wa mtu haufi ila anakufa mwili ila mema yake yanaishia.
Kitendo cha Mzee Makamba kuitumia hili neno la Kiswahili na kugeuza kuwa wema ndio wale wanaishi na wale waliokufa sio wema ni upotoshaji mkubwa ktk kutafasiri maneno ya kiswahili.
Naomba sana Baraza la Kiswahili litoke na kusahihisha haya maneno au ina maana kila anayekufa sio mwema na kama huo ndio ukweli je mbona hakuna anayeishi milele hata angekuwa mwema kiasi gani.
Wapo watu hawafi ili Mungu awaoneshe na kuwalipa ubaya wao kama wema hawafi yupo wapi Mandela?
Kama wema hawafi yupo wapi Desmond Tutu? Kama wema hawafi yupo wapi Nyerere? Kama wema hawafi yupo wapi Martin Luther? Kama wema hawafi yupo wapi Abraham Linkolin? Kama wema hawafi wapo wapi mitume na manabiii? Yupo wapi Sokoine ?
Mzee Makamba ameongea kiswahili nje ya utaratibu lazima ajibiwe mchana kweupe.
Mbona asiseme wema hawadumu na huu ndio ukweli watu wema hawadumu acha hiyo ya wema hawafi ipo ya watu wema hawadumu