wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Akitoka tu, stop ya kwanza ni Belgium for health check up. Wahuni siyo watu wazuri

    Code tayari, tuendelee na sala na kumuomba MUNGU. Tarehe 21 mkono wa NDUGU katika BWANA uandike No case to answer
  2. JamiiForums Tanzania Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Wakuu, Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
  3. JamiiForums Tanzania Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

    Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa. Wanaume wengi ni average...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc. Namba zetu :0756416149 :0717847599
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni chaka la kinyozi/ vinyozi wazuri bei kitonga

    Wakuu habari za wakati huu Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅 Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi...
  7. JamiiForums Tanzania Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  8. JamiiForums Tanzania “Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” kwa nini !

    “Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” Nimekuwa niki observe mahusiano mengi hapa Tanzania, na kuna kitu kinajirudia mara kwa mara lakini watu wengi hawaongelei wazi. Utakuta mwanaume mpole, anayejali, anayeheshimu mpenzi wake—ndiye anayeishia kuumizwa zaidi. Wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

    Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ina Wanawake Wazuri na Warembo. Nimethibitisha

    Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni mmeisikia salamu. Ngoja nitembelee moja kwa moja kwenye mada km ilivyo ada km ambavyo kichwa cha mada...
  11. JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Dar sio wazuri

    Ukitaka warembo nenda kinijini huko, ndani ndani kabisa huko ndio wapo wanawake kweli sio wa hapa dar
  13. B

    JamiiForums Tanzania Katikati ya dagaa wazuri na dagaa wabovu sokoni

    Nikiwa natembea sokoni (maeneo mengine huitwa gulioni au mnadani), katikati ya soko kulikuwa na kinjia (vile vinatengenezeka kwa watu kupita eneo hilo mara kwa mara). Kinjia hicho kilikuwa kinatenganisha sehemu mbili za soko. Upande mmoja kulikuwa na biashara zikiendelea. Waliokuwa wanauza...
  14. JamiiForums Tanzania Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  15. JamiiForums Tanzania Serikali mtambue kuwa warabu sio wahisani wazuri

    Naona baada ya kukataliwa kupewa mikopo na misaada,. Sasa mnakimbilia kujipeleka Kwa warabu Nawakumbusha warubu sio wahisani wazuri kama wazungu Mzungu anatoa misaada mingi na masharti machache kama democrasia, haki za binadamu, kutunza mazingira n. K Sasa huko Kwa mwarabu mtaishia kupewa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamefunga JF na mitandao mingine ila ndio wapenzi wazuri kujiongeza kujua wanatawala vipi kwa mawazo yetu

    Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi. Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu kama sio shapu mbona walifungia mtandao wako,Ina maana waliona na kujua makaburi yao ndio maana...
  17. JamiiForums Tanzania Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwijaku kasema hawa watu wazuri

    Je Mwijaku anatakiwa kutembelewa na kumjulia hali tarehe 9 December?
  19. JamiiForums Tanzania Hakikisha una waganga watatu wazuri

    Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini, Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako. Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu. Waja wakisema biashara yako...
  20. JamiiForums Tanzania Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

    Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…