Wanunua tiketi kwa ajili ya kupataa nafasi ya kushinda jumba hili wakafika 500,000,
Kumaanisha kuwa mwamba aliishia kutengeneza Tsh 3.5bn, mara mbili ya bei aliokuwa ametangaza mwanzoni.😨
Mshindi alipatikana na akaingia katika jumba hili kwa Tsh 7000 tu!
Hii ndio maana halisi ya kufikiria...
Biblia pamoja na simulizi nyingi za kale kutoka sehemu mbalimbali za dunia zinaashiria uwezekano wa wanadamu wa zamani kuwa na mawasiliano na viumbe wa ajabu waliotoka mbali maarufu kama Ancient Aliens.
:::(Rejea mada tuliyowaongelea ANUNNAKI).
Simulizi la bustani ya Edeni katika kitabu cha...
Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
Wakati huu kutakuwepo na watia nia wengi sana, toka kwa vyama vyote shiriki.
Kwa maana hiyo huu Ukumbi wa Siasa utajazwa na hao watia nia na hizi mada nyingine za kisiasa zitabanwa.
Kama kuna uwezekano, mafundi wa JF watengeneze mahala maalum pa hawa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za...
Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.
Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!
Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
Ni wazo na mwenye kuona lina mlipa sawa.
Wenzetu USA wana taasisi za kutunza kumbukumbu za koo mpaka familia huku zikiambatanishwa na DNA.
Ulazimishwi ila utakapo taka kuweka taarifa zako kwa msaada maana wafungua zipu na vifuniko vya asali wameongezeka.
Kuna ndugu,watoto wanaotaka kujia koo...
JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda.
Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana.
Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini.
Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa?
Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!"
Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani.
Pengine idea...
Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa?
Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la machozi nani kajengewa Mnara?
Watu wasio na akili hudhani mateso ama mauaji huondoa wazo la mtu...
Wadau nauliza wenye uzoefu watusaidie,
Jambo gani ni mhimu kuanza nalo ukiwa unafungua biashara(business)
Unawaza kwanza biashara ya kufanya ndio utafute location(eneo) Au unatafuta kwanza eneo ndio uwaze biashara(business ) ya kufanya.
MMH!?
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020...
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.
Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi...
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
Habari wana JamiiForums Karibuni tujadili mawazo ya biashara ambayo yaweze kukutanisha na watu ambao wanauzoefu na hiyo biashara kujadili kwa kina kama kupata uzoefu karibu tujadili
Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini.
Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.