wazo

  1. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wazo: Imeundwa kuifuta Chadema

    Muda utaongea............., Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
  3. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Ni wazo tu

    Kwanini tusianzishe utamaduni kila anapofariki kiongozi mkubwa CCM weekend hiyo inakuwa spesho kwa ajili ya kusikitika kifo chake. Bar zote na sehemu za Starehe wanakuwa na theme ya kusikitikia kifo hicho kwenye weekend hiyo?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza fanya kwa mtaji wa laki 3?

    Wakuu, ni biashara gani mtu anaweza kuanzisha ndani ya miezi 6 hadi mwaka, akiwa na kipato cha Shilingi laki 3 kwa mwezi, ambayo akijitahidi ina uwezekano wa 95% ya kufanikisha au kuboresha maisha yake?
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazo Fyatu: Wamezoea Siasa za Kulipana, Hawaamini Kukataliwa!

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni wazi kuwa kuna kitu kinawasumbua watawala wetu walioshindwa. Hawaamini kuwa wanakataliwa na maelfu kama siyo mamilioni ya Watanzania na kukataliwa huku hakuwaingii kichwani. Baada ya mauaji makubwa kutokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 4 watawala wetu hawa wamebakia...
  6. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa wazo la biashara bongo, ukishindwa kulitekeleza liboreshe hapahapa walitekeleze wengine

    Kwema wakuu Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun' Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyetoa wazo la kuua watu tarehe 29 Oktoba kauharibia sana utawala huu

    Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na mauaji ya kutisha na kikatili mno. Wasimuliaji wanadai hata waliokuwa wakikimbilia nchi jirani wengi...
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazo la Leo: Kwa Mwoga huenda Kicheko kwa Shujaa Kilio -Nimewaelewa Wahenga

    Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa. Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high five". Tunawaona wanacheka lakini nyuso zao zimejaa hofu..hoja zao zimejaa vitisho...kauli zao ni za...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Jaribio la Kumkinga Samia Linaendelea - Tutarudi Tulikotoka?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tanzania tuliyoijua kabla ya Oktoba 29, 2025 haipo tena, haiwezi kuwepo tena, na hata tukiitaka kwa machozi hatuwezi kuipata tena. Tanzania iliyojivunia “umoja na mshikamano” na “amani na utulivu” imetoweka kama ukungu wa alfajiri na kama umande wa asubuhi imeyeyuka. Siyo...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

    Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania. Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji. Kua na gari Tanzania ni anasa.
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
  12. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Swali: Kabla ya kuwalalamikia watanzania kuwa waoga wa kudai haki zao; Je, ni kweli wanajua wanahitaji hizo haki?

    Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa "Sports Infrastructure Management Agency (SIMA)" ni Wazo zuri, heko Msigwa na Team yako

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, amebainisha kuwa Serikali ipo katika hatua za kuanzisha Sports Infrastructure Management Agency (SIMA). Akizungumza katika kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV leo, Bw. Msigwa...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania African Internet Exchange System (AXIS) Project ilikua wazo bora sana, sjui kwann haliendelei

    Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa...
  15. Daby

    JamiiForums Tanzania Wazo: Fred na Emmanuel Ole Shangai jamii ya Maa itawapigia kura pasipo kujali chama.

    Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro. Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wazo la kukopa fedha benki

    Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
  17. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Wazo la Kijana: Jinsi ya Kutajirika Kabla ya Miaka 40, Usikubali Kuitwa "Masikini"

    HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waliofanikiwa walianza na hili wazo

    Watu wengi hukosea kwa kuamini kuwa mtaji wa fedha ndio msingi wa kila biashara. Ukweli ni kwamba, biashara huanza na wazo bora, si pesa. Wazo sahihi lina uwezo wa kukuvutia wadau, kukuletea mitaji, na hata kuanza bila senti mkononi. Wengi wamekopa ili waanze biashara, lakini kwa kukosa...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wazo zuri sana kwa jobless

    Tiba asili ndio mkombozi wa waafrica. Allah Yesu Ni matokeo ya ujio wa wageni. Hii hapa njia ya kupata connection au ajira direct. Mtalaamu anakuitia jini unaingia mkataba nalo likutafutie KAZI baada ya hapo unatoa kafara ya mnyama(ng'ombe) Baada ya hapo unakuwa tayari na KAZI Yako ya...
Back
Top Bottom