Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,423
2,000
Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana.

Labda ilikuwa uzushi ..

Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge..

Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli Masele alianza mchakato already basi Magufuli amuite Masele abebe hili wazo likamilike kabla Wakenya hawajaliiba tukabaki tunalia kama mayatima..

Disneyland wakija hatutazungumza tena watalii Milioni moja
Tutakuwa tunazungumzia watalii kuanzia milioni 10 na kuendelea..
Barabara ngapi zitajengwa?
Madaraja mangapi?
Sgr? ...

Nchi haitahitaji tena wafadhili kwenye Bajeti...ni game changer
Hata Dubai walijaribu kuwavuta Disneyland hawajafanikiwa..Sisi tukifanikiwa ni mwisho WA umasikini tukipata Viongozi wazalendo...

Masele kama kweli ana wazo hili asiachwe wazo lake likapotea..
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,606
2,000
Tuanze kuongelea kwanza Dola US laki 1, kisha milioni 1, kisha milioni 10 kisha milioni 100 halafu milioni 200, 300, ... bilioni 1 USD, bilioni 2, 3, 4, 5,6, 7,8 , 9 , 10.
Sidhani kama wengi wetu hata kama tunaelewa maana hata ya dola laki moja, I mean bilioni 10 USD?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom