Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga.
Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani?
Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28.
Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa...
Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili.
Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba.
Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi.
Waziri Mkuu wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na tija kwa Taifa...
Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums.
Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa...
Waziri wa Sheria na Katiba, Damas Ndumbaro amesema utekelezaji wa Sheria ya Makubaliano ya Kukiri Makosa kwa Watuhumiwa katika kipindi kilichopita ulikuwa na makosa ikiwemo Mkurugenzi wa Mashtaka (DDP) kuhodhi mamlaka yote ya kesi.
Ndumbaro amesema mapungufu mengine ni sheria kutomwangalia...
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri.
Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako?
Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na...
Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali?
Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
"Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 06 Aprili, 2023 amechangia Hotuba...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 2 leo Aprili 5, 2023.
RIDHIWANI: SERIKALI HAINA BAJETI YA KUENDELEZA TAASISI ZA WENZA WA VIONGOZI
Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga ameuliza kama Serikali ina mpango wa kuendeleza Taasisi za wenza wa viongozi wakuu Nchini...
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni
Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP
Chanzo: Swahili Times
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
---
Katika bajeti ya...
Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro.
Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha Oldonyo sambu, Magharibi kinapakana na Kijiji Cha Mgholo na Tinaga, kaskazini kinapakana na mpaka wa...
Anonymous
Thread
dodoma
kosa
kuonana
kwenda
ndani
ngorongoro
siku
waziriwaziri mabula
NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa jinsia wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao utawezesha masuala mbalimbali ikiwemo kuboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.