waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Azinduza Tunzo za Kimataifa za Muziki Zanzibar

    Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita, amesema Serikali itaendelea kusimamia sanaa ya Zanzibar katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wasanii kuzalisha kazi zao katika mazingira mazuri. Akizungumza katika uzinduzi wa tunzo ya Zanzibar International Music...
  3. JamiiForums Tanzania NAIBU Waziri TAMISEMI, Mhe Dkt. Festo Dugange - Tsh. Bilioni 8 Zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya Ununuzi wa Vifaa Tiba

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt.Festo Dugange amesema ndani ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Sh. Bilioni 8 zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba. Mhe. Dugange ameyasema hayo akiwa katika ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango...
  4. JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga Kuna vyuo vya Afya vidivyo na sifa kama uyoga baada ya Ummy mwalimu kuwa waziri wa Afya kulikoni?

    Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki. Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu aagiza taasisi za serikali kuacha kufungia biashara

    WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ukaguzi na udhibiti kuacha kufungia biashara na viwanda, kwani kufanya hivyo ni kusimamisha uchumi wa nchi. Kijaji alisema katika maonesho ya wafanyabiashara yaliyoandaliwa na Wakala wa Usajili wa...
  6. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Serikali ianzishe customer care service maalum, Wizara ya Habari na Mawasiliano haina manufaa

    Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii; "Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"!

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Anajuta kuwa mtoto wa waziri!

    Wana Jami forums naomba ni wasalimu wote kwa heshima zote. Leo nakuja na story ya kweli ya mtoto wa waziri maarufu kwenye awamu ya nne. Huyu kijana ambaye Sasa ni mtu mzima. Nimekutana naye ugaibuni kwenye jiji maarufu, NY. Huyu baba Nimekutana naye kwenye Hari ya kusikitisha. Mimi huwa ni mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

    Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping ----- China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Watanzania Tumieni Bidhaa Zilizotengenezwa Nchini Kuendeleza Viwanda

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa. Kigahe ameyasema...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza: Serikali Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kusimamia Taka Nchini

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,, Narudia karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakat inatakiwa uwe...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Chilo Ahimiza Utoaji Elimu ya Mazingira

    Naibu Waziri Khamis Chilo Ahimiza Utoaji Elimu ya Mazingira Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewahimiza maafisa mazingira nchini kuongeza kasi ya utoaji elimu ya utunzaji wa mazingira kwa wananchi ili kuepusha athari za mabadiliko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoboa Siri ya Kumteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu

    Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko iwajibishe TPDC kwa makusudi wanayoifanya kwa watumiaji wa Gesi kwenye magari

    Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4. Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Machozi ya Waziri Byabato na idadi ya watu milioni 64 wanaoongezeka kila kukicha

    Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba. Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama analia wakati akidai anahujumiwa ili asiweze kutekeleza ahadi zake za 2020. Muda unaenda kasi na ahadi...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: KADCO Ongezeni Ubunifu Kuvutia Mashirika ya Uwekezaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: KADCO ONGEZENI UBUNIFU ILI KUVUTIA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameutaka Uongozi wa Kampuni ya Uendeshwaji na Uendelezwaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro (KADCO) ambao ndiyo waendeshaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…