waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

    Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping ----- China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Watanzania Tumieni Bidhaa Zilizotengenezwa Nchini Kuendeleza Viwanda

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa. Kigahe ameyasema...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza: Serikali Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kusimamia Taka Nchini

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,, Narudia karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakat inatakiwa uwe...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Chilo Ahimiza Utoaji Elimu ya Mazingira

    Naibu Waziri Khamis Chilo Ahimiza Utoaji Elimu ya Mazingira Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewahimiza maafisa mazingira nchini kuongeza kasi ya utoaji elimu ya utunzaji wa mazingira kwa wananchi ili kuepusha athari za mabadiliko ya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoboa Siri ya Kumteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu

    Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko iwajibishe TPDC kwa makusudi wanayoifanya kwa watumiaji wa Gesi kwenye magari

    Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4. Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Machozi ya Waziri Byabato na idadi ya watu milioni 64 wanaoongezeka kila kukicha

    Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba. Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama analia wakati akidai anahujumiwa ili asiweze kutekeleza ahadi zake za 2020. Muda unaenda kasi na ahadi...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: KADCO Ongezeni Ubunifu Kuvutia Mashirika ya Uwekezaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: KADCO ONGEZENI UBUNIFU ILI KUVUTIA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameutaka Uongozi wa Kampuni ya Uendeshwaji na Uendelezwaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro (KADCO) ambao ndiyo waendeshaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu avinadi vivutio vya uwekezaji Italia. Ataja msimamo wa Rais Samia wa kuhamasisha ujenzi wa viwanda nchini

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa nchini Italia kuja Tanzania kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa kuwa Tanzania ina malighafi za kutosha pamoja na uwepo wa masoko ya uhakika kutokana na eneo la kijiografia. “Msisitizo...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro ateta na Uongozi wa wa FIFA na CAF

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATETA NA UONGOZI WA FIFA NA CAF Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA ) katika Ukanda wa CECAFA, Andrea Silva na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

    Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari. Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Usajili wa VPN unafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
  18. JamiiForums Tanzania Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, 'Boko' hili la 'Kujiaibisha' Mchengerwa alilitoa kama Mkwe au Waziri au Mkwe Waziri?

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema hajashangaa kuona Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati Singida Dkt. Cyprian Hilinti kumuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aridhie kuwa Mama wa Taifa la Tanzania ambapo Mchengerwa amesema Rais Samia ameingia kwenye fikra na maono ya Baba wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

    Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…