waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo, tafadhali angazia vijana wanaofanya kazi ya kukusanya ushuru kwenye Halmashauri

    Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwako kwa ufanyaji kazi wako uliotukuka. Jafo naomba upatapo ujumbe huu ufanyie kazi; sio nakulazimisha mzee wangu hapana ni sehemu ya uzalendo wa vijana wako waliokuwa chini ya Halmashauri mbali mbali. Waziri, vijana wengi wameajiriwa ndani ya Halmashauri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna hujuma ya makampuni mengine ya cementi dhidi ya Dangote? Waziri wa Uwekezaji toa neno

    Tumeshuhudia mitandaoni ikisambaa clip kuhusu figisu alizokumbana nazo Dangote katika kiwanda Cha cement Mtwara. Tuhuma nyingi zinaelekezwa kwa watumishi wa Umma ambao wanamaslahi binafsi kuliko maslahi ya Taifa. Kuondoka kwa Dangote kusipuuzwe maana jina lake linaclick masikioni mwa matajiri...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Geofrey Mwambe atembelea Maonesho ya Wajasiriamali na kukagua bidhaa

    Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam. Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika. Maonesho hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu. Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa Sekta ya Manunuzi ya Umma. Chanzo: ITV habari! Maendeleo hayana...
  7. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Waziri anayeshughulikia Misaada ya Kigeni

    Misaada ya Kigeni ina sehemu Kubwa Sana katika uchumi wetu. Hii ni kweli kiasi kwamba bajeti yetu huwa inaandaliwa ikipigia hesabu misaada hii ya moja kwa moja ya bajeti. Wanaotupa misaada wana vyombo vyao vinavyosimamia na hata Mawaziri au Manaibu Waziri. Sote tunajua vyombo Kama USAID, DANIDA...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM vs Mbunge/ Waziri kipi ni cheo kikubwa?

    Naomba tu kuelimishwa uhusiano wa ukuu kati ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na mbunge/waziri kupitia CCM. Naingia ibadani Mungu awabariki sana. Maendeleo hayana vyama!
  9. JamiiForums Tanzania NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri. Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
  11. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Tigray Ethiopia: Waziri mkuu aamuru mashambulio dhidi ya mji wa Mekele

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle. Amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao. Hatua hilo inajiri...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka Jumuiya ya Kimataifa isiingilie mzozo wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo wajisalimishe ukifikia ukingoni. Katika taarifa yake kiongozi huyo amesema Ethiopia kama taifa huru lina...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakuu wa Mikoa kagueni Mawakala wa Saruji, mkiwakuta wamerundika mzigo wakamateni mkawashitaki!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na kuwafungulia mashtaka. Mh Majaliwa amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhusika katika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

    Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho akawa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi. Vivyo hivyo kwa utumishi uliotuka wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

    Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

    Hakuna muda wa kulala Hakuna muda wa kupoteza Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo Matumizi sahihi ya Rasilimali...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Mwinyi kwamba Manaibu Waziri wanaongeza gharama za Serikali naamini Rais Magufuli atafanya hivyo pia!

    Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya. Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake. Ni imani...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

    Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu. Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…