waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

    Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

    Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Prof.Mkenda, umekwepa Maswali Bungeni unatuachia hatari wakulima wa Vanilla nchini

    Wana JF. Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho...
  5. JamiiForums Tanzania Winston Churchill aliyekuja kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza aliwahi kuwa Luteni wa Jeshi

    Winston Churchill graduated Sandhurst Military College, an impressive twentieth out of a class of 130, in December 1894. Churchill received his commission from Queen Victoria with an effective date of February 20th, 1895, in the Queen's 4th Hussars Calvary. Lieutenant Churchill, aged...
  6. JamiiForums Tanzania Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania

    Mwanzo | TRC Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania – TRC zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP, bandarini jijini Dar es Salaam Oktoba 06, 2021. Behewa hizo zitatumika kusafirisha mizigo...
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  8. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aapishwa kwa muhula mwingine wa miaka 5

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia Serikali ya Abiy ambaye alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2018 inakabiliwa na changamoto mbalimbali...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumi za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
  10. JamiiForums Tanzania Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  11. JamiiForums Tanzania Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

    WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba tunasubiri uifumue na TPDC na EWURA

    Kwako waziri wa nishati, Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO. Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, Uteuzi wako wa Mama Maajar kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO una mgongano wa maslahi

    Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO. Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuteua Waziri mwanamke Wizara ya ulinzi ni sawa?

    Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aliyekuwa Muhasibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu ahukumiwa kwenda jela miaka 40 kwa ubadhirifu

    Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene usiwe kigeugeu ndugu yangu

    Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake. Nataka niulize swali, hivi si ndio huyu huyu Simbachawene alikuwepo wakati wa kutunga katiba mpya awamu ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashiriki vyema ziara ya waziri mkuu majaliwa, ashiriki upandaji wa michikichi

    DKT. SAMIZI ASHIRIKI VYEMA ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, ASHIRIKI UPANDAJI WA MICHIKICHI. Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi ameshiriki vyema ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anayoifanya mkoani Kigoma iliyoanza Septemba 16, 2021. Katika ziara hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba kaanza vibaya, nahofia atafeli kama wenzie

    Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'.. Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material lakini cha ajabu anakuja na kauli zile zile za kufukuza watu.. Kalemani alikuwa anafukuza na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, do the right thing to shame the devil!!

    kama kuna wanasiasa vijana nchi hii ambao mimi binafsi nawakubali sana kutokana na uwezo wao wa kiakili, wewe ni namba moja mheshimiwa. iko hivyo kwangu muda mrefu tu. na si mimi tu, kuna wengine tu wanaouona umaridadi wako pia......ushahidi upo ulipoingia katika kinyang'anyiro cha uraisi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…