Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Mheshimiwa Waziri wa Afya, nikiwa kama "collateral" ambaye nina ndugu yangu anayefanya kazi pale Mloganzila Hospitali, naomba nikufikishie taarifa kwamba wafanyakazi wa pale hawajalipwa posho za UVIKO-19 (Risk Allowances) hata za wimbi 1 japokuwa hizo pesa mlishazilipa kulingana na tangazo...
Bunge la Pakistan limemchagua Shahbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, baada ya Imran Khan kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye mapema siku ya Jumapili Aprili 10, 2022.
Kiongozi wa muungano wa upinzani ambaye alikuwa amefanya kazi ya kumwondoa Khan alipata uungwaji...
WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023
Ndugu Wanahabari,
Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi.
Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia hasara za kuwa na umeme kama vile kupigwa shoti, kunaswa na umeme, kuunguza nguo kwa pasi na nyumba...
Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
Ndugu waziri nakuletea salaam zangu kutoka nakatunga wilaya ya Ngara, ambazo kwa hakika zimebeba mtazamo wa wilaya yote.
Ndugu waziri, wanaomkumbuka Kalemani hadharani na moyoni sio kwamba wachuki na wewe, bali wanaangalia utendaji wako ukilinganisha na kalemani.
Hapa Rusumo kuna mradi wa...
Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi.
Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na watendaji walioko ktk ofisi za mabonde. Kuna pesa nyingi zinapelekwa ktk ofisi za mabonde na kurudishwa...
Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika.
Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.
Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Taarifa ya upungufu wa vituo vya polisi Nchini Tanzania imewaibua wadau wa haki za binadamu, wakidai kuwa chanzo ni kukosekana kwa haki.
Jana Aprili 5, 2022, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni aliwasilisha bungeni taarifa ya upungufu wa vituo vya Polisi vya daraja B...
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo.
Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
Wakati tunapokea taarifa za uteuzi wa Uwaziri wako bwana January Makamba, watu wengi tuliamini kuwa wewe ndiye utakaye leta mageuzi makubwa sana kwenye Wizara yako. Lakini nasikitika kuona kuwa matarajio tuliyo kuwa nayo kwako yamepotea.
Ulipoteuliwa tu na kuapishwa ulionesha mwelekeo kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.